Msikose kuangalia kipindi maridadi kabisa cha FAMILY FULL MAPESA kupitia STAR TV kila JUMAPILI SAA 12:30 - 1:00 JIONI.
Hiki ni kipindi cha kifamilia ambacho watu wanapata bahati ya kushuhudia maswali na majibu kibao yanayolenga kuelimisha na kuburudisha.
Pia mnaweza kufuatilia video clips na picha mbalimbali za kipindi hiki kupitia blog ya SAHIHI ENTERTAINMENTna kule facebook kupitia page yaFamily Full Mapesa | Facebook . Pia, usisahau ku-like page yake facebook kama unavutia na hiki kipindi.