Kwa wale wanaohitaji kufahamu kwanini? TV hitachi mjapani huwa inawaka hata kama umeme mdogo chini ya Volt,120 inawaka bila tatzo na kuna wakati inazima mara tu umeme unapo pungua zaidi,Wakati tv za kichina zinagoma kuwaka na kama ikiwaka kunauwezekano wa kuungua.
Oke kama inachoma pima kwenye Capacitor ya 250V DC,kwaajili ya heater kama kuna volt, zinazoingia na zisizidi volt,190DC, na zisipungue zaid ya 120V DC,pia angalia line nzima ya waya wa heater unaoenda kwenye CRT na ikishindikana badilisha Flyback(FBT) au CRT board iliupate majibu zaid kama tatizo lipo kwenye CRT au circuit board yenyewe kisha niambie,0757803385.
Tatizo la TV yako ni power supply,FBT (fly back transformer )aipati signal toka kwenye switch transitor,angalia for shorted transistor or open onePia kuna tatizo hili la kuwaka taa ya standby bila kuwaka tube, tatizo eneo gani kwa uzoefu wako-bila kubadili sucket.
Kwa wale wanaohitaji kufahamu kwanini? TV hitachi mjapani huwa inawaka hata kama umeme mdogo chini ya Volt,120 inawaka bila tatzo na kuna wakati inazima mara tu umeme unapo pungua zaidi,Wakati tv za kichina zinagoma kuwaka na kama ikiwaka kunauwezekano wa kuungua.
Kufahamu jinsi ya kutengeneza TV ilioungua upande wa power.
Ndio hivyo,ingawa me Niko vyema kwenye subwooferNatamani huu uzi ungekuwa umefunguliwa jana na wachangiaji waweze kusaidia tatizo langu.
Anyway, all is good