TV one mmeharibu kazi

TV one mmeharibu kazi

Nashindwa kuelewa ni kwann imekua hivi,mwanzo nlikua na vipindi vizury mno mpaka ukawa inavutia kuangalia ila now ni vurugu tu yan any time munaonesha mamichezo ya mapikipiki tu mumesahau cyo wote wanapenda michezo,
Hebu badilikeni muwe kama zamani yani nimemiss sana tamthilia kama ezel,mazagazaga ya kokoro,pain killer na vipindi vingne vizuri
Hayo na vipindi yenu ASA iv yanakera mana kutwaa ni mamichezo tena yanatangazwa kizungu
Munakera sana badilikeni TV1
hujalipia kifurushi mkuu uwongo?
 
Kuna ile ya kupanda mlima kilimanjaro na wazungu. Wanaimba hakuna matata. Mi nimechoka kua mpenzi mtazamaji
 
Wana kipindi chao kinaita "boysboys" lakini kinachozungumzwa humo ni ya wanaume na sio boys
 
Back
Top Bottom