TV one mmeharibu kazi

TV one mmeharibu kazi

babadullah

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
508
Reaction score
320
Nashindwa kuelewa ni kwann imekua hivi,mwanzo nlikua na vipindi vizury mno mpaka ukawa inavutia kuangalia ila now ni vurugu tu yan any time munaonesha mamichezo ya mapikipiki tu mumesahau cyo wote wanapenda michezo,
Hebu badilikeni muwe kama zamani yani nimemiss sana tamthilia kama ezel,mazagazaga ya kokoro,pain killer na vipindi vingne vizuri
Hayo na vipindi yenu ASA iv yanakera mana kutwaa ni mamichezo tena yanatangazwa kizungu
Munakera sana badilikeni TV1
 
Imekuwa ya kipuuzi sana hata ikifutiliwa mbali sina poa tu
 
Mie zamani nilikuwa Nina tazama American got talent,lakini siku hizi mmmmh. Mapikipiki Mara magari,Mara farasi ushuzii mtupu
 
Dah umenikumbusha Ezel. Tamthilia tamu isiyochosha
 
Back
Top Bottom