Mkuu yenye technolojia ya LED vipi inaweza patikana ?
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
Digita ninaweza ipata wapi na shingapi mkuu?
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
kubwa la maadui upo!! ngoja nikachek post zako kuleeeeeKariakoo ziko kibaooooooo! Maduka ya ma agent wa Samsung!!!!!!!!!!! Tena bei haiko mbali na hio!