TV mr Uk Vipi ubora wake ?

TV mr Uk Vipi ubora wake ?

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
887
Wajuzi nisaidieni, vipi hizi flat tv zimeandikwa mrUK, Zina ubora gani?
 
ukiona una wasiwasi usilazmishe jaribu na mrs uk
 
Kama huna cha kushauri bora uhamie facebook! Huko ndio wapo wachangiaji kama wewe!
 
Wajuzi nisaidieni, vipi hizi flat tv zimeandikwa mrUK, Zina ubora gani?

Mkubwa navyojua TV hainaga mbwembwe nyingi sana ndo maana unaona watu tumenunua Singsung na tumeacha Samsung,LG na makampuni makongwe lakini bado tunapeta
Nachokushauli zingatia tu ubora wa picha ukienda kununua story nyingine weka kando

Asante kwa kutujuza by the way maana hii brand sijawai kuisikia
 
Back
Top Bottom