Nimeondoa timer na nimeweka hiyo dakika10 bado inajizima
Kuna capacitor zimeburst. TV inakosa stored charge za kutosha so inajizima inajipeleka standby kwaajili ya kujaza charge kwenye capacitors tena. Kuna TV yetu ya Sony ilikua hvyo, tukapeleka kwa fundi akabadilisha capacitor zote zilizoburst. Ilikua ni kma 40,000 hv kma sio 50,000 (sikumbuki vzr).Habari za jioni,nina tv yangu ni star x 32 inch led tv shida yake inajizima kila baada ya dakika kumi mara ya kwanza nilijua ni sleeping timer nimekagua wapi,naombeni msaada
Jibu lakisomi kabisaKuna capacitor zimeburst. TV inakosa stored charge za kutosha so inajizima inajipeleka standby kwaajili ya kujaza charge kwenye capacitors tena. Kuna TV yetu ya Sony ilikua hvyo, tukapeleka kwa fundi akabadilisha capacitor zote zilizoburst. Ilikua ni kma 40,000 hv kma sio 50,000 (sikumbuki vzr).
Unaweza kubadilisha mwenyew kma una soldering iron na multimeter. Ukaenda kununua hzo capacitor kkoo kutoka na rating zake (wanauzaga buku 2 mpk buku 10 kutokana na rating). Ila kma huna ujuzi wa kiufundi, we peleka kwa fundi wa maana tu.Kwa hiyo ni kupeleka tuu kwa fundi zinaweza kubadilishwa nikachukua baada ya nusu saa maana mafundi huwa siwaamini kabisaa
Sawa sawa mkuu fundi mzuri anapatikana mitaa ipi mimi niko maeneo ya kimaraUnaweza kubadilisha mwenyew kma una soldering iron na multimeter. Ukaenda kununua hzo capacitor kkoo kutoka na rating zake (wanauzaga buku 2 mpk buku 10 kutokana na rating). Ila kma huna ujuzi wa kiufundi, we peleka kwa fundi wa maana tu.
Sisi jamaa tunayemtumiaga yupo Maili moja (Mbele ya kiluvya). Kesho ntaulizia number yake niitumeSawa sawa mkuu fundi mzuri anapatikana mitaa ipi mimi niko maeneo ya kimara