Kimfaacho mtu chake 🤣Tv yenye mstari 650k!? Amakweli watu wanachanganyikiwa!
Yubera wochi yua baki bro!
Mafundi wananunua hizoHuwez kupata msukuma wa kumpiga kwa bei hiyo mzee.
Siku hizi kuna mashine za kuua pixel, inatafutwa hio kwenye mkanda inauliwa, mstari unapotea na hujui.Mafundi wananunua hizo
Mafundi wananunua hizo
DuhhIkifika Laki 2 Nijulishe