Tv ni Solar max, imetumika mwezi na nusu hivi yaan ni kama vile mpya tu
Ni smart tv inaconnect internet
Ina rangi nzuri na pjcha iko very clear
Ina bluetooth (huna haja ya kutumia waya kuconnect na kifaa kingine kama woofer na vingine
Ni inch 43..
Ina speeker nzuri..unaweza tumia bila hata woofer ikawa vizuri tu
Bei ni 300,000 ila punguzo kidogo lipo
Location, gongolamboto Dar es salaam
Piga simu 0683473391