TV inapoteza picha

TV inapoteza picha

kijumbamshale

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
267
Reaction score
88
Waungwana TV yangu samsung LED 40' inawaka lakini kwa muda kama wa dakika 10 halafu inapoteza picha inabakia sauti tu tatizo linaweza kuwa nini?
 
Waungwana TV yangu samsung LED 40' inawaka lakini kwa muda kama wa dakika 10 halafu inapoteza picha inabakia sauti tu tatizo linaweza kuwa nini?

Nakushauri kama bado warranty haijaisha, irudishe kwa wahusika wakubadilishie au waitengeneze wao wenyewe. Baadhi ya mafundi wetu mtaani sio experts sana wa hivi vitu, unaweza ukampelekea akaifungua but ikimshinda hasara kwako mkuu.
 
Asante kwa ushauri, warranty imeshaisha ila ntaipeleka kwao ingawa sina uhakika kama wanatoa huduma za services
 
Back
Top Bottom