Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 627
- 1,153
Hi wana forum , nina Tv bapa model number PS43E400U1R, hi TV ina tatizo la kutowaka, Tatizo lilianza kwa picha kukatakata then ikawa inawaza vizuri baada ya muda picha inazimiza screen inakuwa nyeusi tu, ilikuwa inanibidi niizime kwa remote then naiwasha tena sometime ilikuwa inakubali wakati mwingine inakataa,
sasa hivi haiwaki kabisaa, yaani ukiwasha screen inakuwa nyeusi picha haionekani japo sauti inasikika, Sasa kama kuna mtu yeyote ambaye ana experience na tatizo kama hili au awezaye kutengeneza naomba anifahamishe