TV Iman imebadili frequence

TV Iman imebadili frequence

twatwatwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
2,066
Reaction score
421
Toka jana tv imaan imebadili freguenc zake toka 3780 v 1667 hadi 4069v 2500 kwenye sat hilehile intelsa 906
 
Toka jana tv imaan imebadili freguenc zake toka 3780 v 1667 hadi 4069v 2500 kwenye sat hilehile intelsa 906

OK, Shukrani kwa taarifa. Endelea kutujuza kwa kila kitakachoendelea kuhusu TV IMAAN na hata RADIO IMAAN pia.
 
Frequency describes the number of waves that pass a fixed place in a given amount of time. So if the time it takes for a wave to pass is is 1/2 second, the frequency is 2 per second. If it takes 1/100 of an hour, the frequency is 100 per hour.
 
Haka ka tv watu hawajui kuongea kiswahili?
 
Kwa tunao tumia antena za kawaida tutaipata kwa frequency zipi
 
Frequency describes the number of waves that pass a fixed place in a given amount of time. So if the time it takes for a wave to pass is is 1/2 second, the frequency is 2 per second. If it takes 1/100 of an hour, the frequency is 100 per hour.

asante mkuu
 
Msaada wadau..mbona kwenye TV yangu naona rangi rangi tu na siosi chochote zaidi ya kusikiliza radio imaan..natumia dish..
 
Back
Top Bottom