Tv imaan

Tv imaan

Tv imani ni ndugu na radio imani?kama jibu ni ndio,hakya mama tutarajie alshababu wakiitwa kutoa mihadhara live
 
Ikirejea tujulishane tumeimic sana


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Walichangisha michango taifa,kisha wakatia mfukoni hela zote tv kimeo ..Tunataka hela zetu,bora tungejengea shule zitukombowe.
 
Back
Top Bottom