Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,347
- 2,018
Sijajua gharama ya kutuma inaweza kuwa kiasi gani? Lakini kila kitu kinawezekanaJe unaweza Kumtumia mtu aliyeko mkoa tofauti.. please toa ufafanuzi katika hili....otherwise best wishes.
Kilichonifurahisha ni kuwa unaangalia TBC .. otherwise all the bestStarX inch 32, Tsh 270,000/=
Samsung Galaxy J7 prime duos, Tsh 220,000/=
Subwoofer Sea piano, Tsh 80,000/=
King'amuz strtimes Tsh 50,000/=
Stand ya Tv Tsh 30,000/=
Vyote bado viko katika hati nzuri
Piga. 0654 613703 Mwanza kona ya bwiruView attachment 1413706View attachment 1413707View attachment 1413708
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg uko na mtazamo chanya sana nimependa majibu yako,sasa fanya hivi tafuta mteja fanya naye mazungumzo halafu swala la usafiri utaniachia mimi nitalifanya kwa gharama zangu bila kumtoza mteja wako wala wewe. Ukiwa na maswali njoo uniulize pm karibuSijajua gharama ya kutuma inaweza kuwa kiasi gani? Lakin kila k2 kinawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtego wa panya huingia waliomo na wasiomo.Ndg uko na mtazamo chanya sana nimependa majibu yako,sasa fanya hivi tafuta mteja fanya naye mazungumzo halafu swala la usafiri utaniachia mimi nitalifanya kwa gharama zangu bila kumtoza mteja wako wala wewe. Ukiwa na maswali njoo uniulize pm karibu
Nipo Mwanza na navihitaji hivyo vitu,ila tuu nilipoona anaangalia TBCCM nimeghairi siwezi kuleta mkosi nyumbani kwangu.Kilichonifurahisha ni kua unaangalia TBC .. otherwise all the best
One love
Nipo Mwanza na navihitaji hivyo vitu,ila tuu nilipoona anaangalia TBCCM nimeghairi siwezi kuleta mkosi nyumbani kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Free channel that's whyNipo Mwanza na navihitaji hivyo vitu,ila tuu nilipoona anaangalia TBCCM nimeghairi siwezi kuleta mkosi nyumbani kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ujasoma baoloji darassa la sita kodinesheni of living singiHizo R na L mna tatizo nalo lipi? Kutamka kwa mdomo nafahamu inaweza kuwa ngumu basi hata kwenye kubofyabofya na vidole nako inakuwaje?