Holden Homes
Senior Member
- Aug 29, 2024
- 141
- 100
Ni kawaida kwa sasa hivi kukutana na TV na ukaambiwa hii ni double glass ni TV ya aina gani
Double glass ni TV ambayo I akioo cha kawaida na ina-kingine chepesi ambacho kipo juu yake mfano unapokuwa na simu na ukaiweka protector hio ndo mfano wa TV ambayo ni double glass
TV ambazo ni double glass mara nyingi sana ni ngumu kupasuka tofauti na zile ambazo ni za kawaida
Mfano wa TV ambazo ni double glass ni
Inch ”AILYQNS DOUBLE SMART sh 410,000/=
Inch 32 solar max double glass sh 210,000/=