Hellow wana jf .. nina samsung tv series 4 yenye inteenal decoder ambayo nashika channels kama 30 bure kabisa kwa antenna ya kawaida . . Sasa nahitaji niweze kupata paid channels kwa kuweka tv card sababu hii tv ina common interface slot ambayo najua nawekea card na nakuwa nalipia channels mbalimabli kama discovery channel, aljazera n.k ... kwa anayejua hii kitu anipe ujuzi ...
njunwa wamavoko