Iyo unapoteza muda tuuuu. Bundle inakula vibaya sana depending on Video resolution ya Content.
Pia inataji Net yenye spid ya uhakika. Pia haina convenience. Eg. Unaweza ona channel fulani inaonesha mpira, kesho hakuna mara mprira umehamia channel nyingine. Yani ni usumbufu tuuu. Kama unachezea game au facebuuk na kuplay media files sio mbaya