Tv apps kwa ajili ya ipad au android gadgets

Tv apps kwa ajili ya ipad au android gadgets

hsbaky

Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
25
Reaction score
7
Wanajamvi Nawasalimia,
Naomba kwa wataalamu wa masuala ya mobile app, mnisaidie. Nimekuwa nikisaka application ya luninga ambayo naweza kuitumia kwenye either IPAD, IPHONE au kwenye tabs za Samsung. Nipo mbali na home na ningependa kupata matukio ya TV zetu za nyumbani na za majirani zetu.

Asanteni
 
Itabidi ununue na king'amuzi,la sivyo nenda kwenye web ya tv husika utapata app yao ambayo utakuwa una watch live,mfano Aljazeera wanayo mi huwa naangalia kila mara,
 
Mkuu, download Africa TV plus. Lakini Kwa tanzania utaweza kupata Startv peke yake, wengine wachovu hawako online.
 
Waheshimiwa,
Nawashukuru sana kwa ushauri. Nafanyia kazi kisha nitaleta mrejesho.
 
Wadau,
Niwashukuru tena.

Feedback:
1. Kwenye android nimefanikiwa kupata Africa TV Plus, ila kama alivyosema kaka pale ipo Star tv na inapatikana kwa shida kidogo. Hii app haipo kwenye Ipad na jamii yake.
2. Kwenye Ipad mpaka sasa nimefanikiwa kuweka app ya DSTV ambayo kwa kiasi kikubwa naona ni kama ya kukupa "reminders" na summaries ya matukio yaliyopita. Huku hawako 'rich' kwenye hizi app za TV hasa za kibongo.

Nawashukuru sana na bado naendelea kupokea miongozo yenu.
 
Nenda google play Andika Tanzania Tv and Radios. utapata Apps nyingi tu. hadi TBC, ITV na Capita zinapatikana
 
Back
Top Bottom