fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,678
- 7,325
wajuzi tv aina ya zune ni bora nimeiona littlemore nikaipenda
ok basi ntainunuaNi nzuri ndio,japo mi natumia ya BRAVO Ensuaring Quality
vp za BRAVO ushaziona?ok basi ntainunua
Hamna kitu hapo ni Chinese brand mbaya sana kuna zile sabufa zao ndo kabisa takataka...wajuzi tv aina ya zune ni bora nimeiona littlemore nikaipenda
Mnapondaga sn vitu vya kichina hasa vyenye majina yasiyo brand kubwa kisa mna ma Samsung na LG za kichina kiuhalisia hapa bongo maelectronics mengi ni ya kichina tu ma HISENSE yanakufa kila sku yakiwa hata hayana mwaka wkati watu wanatumia zunne au star x wanadunda miaka na miakaHamna kitu hapo ni Chinese brand mbaya sana kuna zile sabufa zao ndo kabisa takataka...
Kuna mchina wa low budget ambae life span (durability) yake ni ndogo na ikifa inakufa kweli ukianza kutengenezesha ndo kama unafuga ugonjwa kila siku itakua kwa fundi tu...Na kuna mchina gadgets za ubora wa kati na pia kuna mchina gadgets quality nzuri kabisa standards za kimataifa hizi mara nyingi huwa sio rahisi kuzipata huku dunia yetu ya 3 soko lao kubwa ni ulaya na marekani sana ndo hizo huwa zinapelekwa huko..Mnapondaga sn vitu vya kichina hasa vyenye majina yasiyo brand kubwa kisa mna ma Samsung na LG za kichina kiuhalisia hapa bongo maelectronics mengi ni ya kichina tu ma HISENSE yanakufa kila sku yakiwa hata hayana mwaka wkati watu wanatumia zunne au star x wanadunda miaka na miaka