yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,927 Reaction score 4,199 Aug 20, 2021 #1 Heshima kwenu wakuu. Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida. Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu?
Heshima kwenu wakuu. Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida. Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu?
A Ally780 Member Joined Aug 8, 2021 Posts 23 Reaction score 24 Aug 20, 2021 #2 Peleka kwa fundi akaiangalie ndio utajua tatizo lako kiundani Zaid.
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,955 Reaction score 2,489 Aug 20, 2021 #3 Imeunguza taa zake. Mpelekee fundi akubadilishie mkanda wa taa.
ngome1838 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2019 Posts 2,027 Reaction score 2,498 Aug 20, 2021 #4 yello masai said: Heshima kwenu wakuu. Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida. Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu? Click to expand... Ni kawaida kusikia sauti tu hasa pale taa zikiwa zimezimwa tangazo la Kodi likiwa limetolewa na Dk. Mwigulu
yello masai said: Heshima kwenu wakuu. Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida. Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu? Click to expand... Ni kawaida kusikia sauti tu hasa pale taa zikiwa zimezimwa tangazo la Kodi likiwa limetolewa na Dk. Mwigulu
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,850 Reaction score 61,891 Aug 20, 2021 #5 ngome1838 said: Ni kawaida kusikia sauti tu hasa pale taa zikiwa zimezimwa tangazo la Kodi likiwa limetolewa na Dk. Mwigulu Click to expand... hahahaha
ngome1838 said: Ni kawaida kusikia sauti tu hasa pale taa zikiwa zimezimwa tangazo la Kodi likiwa limetolewa na Dk. Mwigulu Click to expand... hahahaha
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,927 Reaction score 4,199 Aug 20, 2021 Thread starter #6 Jaluo_Nyeupe said: Imeunguza taa zake. Mpelekee fundi akubadilishie mkanda wa taa. View attachment 1899353 Click to expand... Asante mkuu
Jaluo_Nyeupe said: Imeunguza taa zake. Mpelekee fundi akubadilishie mkanda wa taa. View attachment 1899353 Click to expand... Asante mkuu
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,927 Reaction score 4,199 Aug 20, 2021 Thread starter #7 Asanteni waungwana. Angalau sasa nimejua tatizo kupitia kwenu. Kwahiyo nshajua pa kuanzia.
acontinuer JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 241 Reaction score 256 Aug 21, 2021 #8 yello masai said: Heshima kwenu wakuu. Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida. Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu? Click to expand... Kuna uwezekano matatizo ya kawa mawili kati ya Taa au invet Invt inawezesha kuwasha izo Taa ili uone mbele Au Taa mkanda huo mmoja wapo utakuwa umekufa au miwili kwaiyo inashindwa kukamilisha mzunguko wote wataa na inashndwa kusch invt
yello masai said: Heshima kwenu wakuu. Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida. Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu? Click to expand... Kuna uwezekano matatizo ya kawa mawili kati ya Taa au invet Invt inawezesha kuwasha izo Taa ili uone mbele Au Taa mkanda huo mmoja wapo utakuwa umekufa au miwili kwaiyo inashindwa kukamilisha mzunguko wote wataa na inashndwa kusch invt
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,899 Aug 21, 2021 #9 yello masai said: Heshima kwenu wakuu. Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida. Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu? Click to expand... Labda inaingiliana na frequencies za mfumo wa chanjo, kwa kuwa nao ni chombo cha mawasiliano cha ki-digitali..
yello masai said: Heshima kwenu wakuu. Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida. Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu? Click to expand... Labda inaingiliana na frequencies za mfumo wa chanjo, kwa kuwa nao ni chombo cha mawasiliano cha ki-digitali..
khamis kilo JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 1,224 Reaction score 1,548 Aug 21, 2021 #10 ikipona hiyo Tv yako uza alafu tafuta LG utakuja kunishukuru baadae