TV 32'' na Laptop vyote kwa 700,000/=

TV 32'' na Laptop vyote kwa 700,000/=

Kwani kikichelewa unapata hasara gani kutoka kwenye hiyo laki saba? Vipi kama watakuja watu wawili wanunue kimoja kimoja bado utataka waongeze elfu hamsini kila mmoja?
Yuko sahihi. Akiuza kimoja kwa bei fulani huku akitegemea kilichobaki kizibe pengo lililobaki kutimia laki 700,000 je asipopata hiyo bei huoni kuwa atauza chini ya hiyo? Ndiyo maana kaongeza 50,000 incase kuziba pengo la bei anayotaka kufikisha 700,000 huenda inawezekana tu kama atapata wateja wawili kwa mara moja hapo itakuwa poa
 
Mm nina 200,000/= nije nichukue hiyo laptop used?
Alafu hiyo tv aina gani?
 
Nauza TV 32" LED flat screen homebase na laptop acer hdd500gb, ram4, processor2 vyote kwa 700,000/= only. Sina simu/camera nzuri ya kupiga picha lkn vipo safi havina michubuko na vipo vina fanya kazi
Mnakaribishwa kupitia 0652 494919
serious buyer 600 nipo mwenge kama fresh sema namba yako iyo sikupati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom