SuperKapeto
Member
- Feb 27, 2013
- 62
- 27
Wadau na wakuu wa jamvi siku hizi kuna hulka ya kufanya mapenz kwa kutumia simu au sms yaan tunaita sexchat..unaweza fanya hivi kama mpnz wako upo mbal naye au kama jogoo akiwika alfajir na huna mwelekeo hata wa kwenda kwa dada Poa.
Sexchat kwa kiasi chake inahitajika utundu kwan ni lazima mtu awe na uwezo wa kuvuta hisia za mpenz wake hadi aone ana Peez...Japokuwa ina madhara kiakili kwan ukiendekeza hivi unaweza kuwa mbovu kitandani.
Asilimia kubwa ya watu walioko ktk mitandao ya kijamii kama facebuk,whatsapp,badoo hufanya haka kamchezo. Unaweza shangaa mpenz wako kwann ameng'ang'ania simu huku unaongea naye uso kwa uso yeye anachat kumbe anakojoleshawa au kumkojolesha mtu mwingine.
Mtu anayefanya sexchat mara kwa mara hasa mwanaume huwa na tatzo sana la uzalishaj wa mbegu za kiume..inashauriwa jiingize ktk sex kila baada ya siku 2 kiafya bt mtu anayefanya sex kila mara imagine anakuwa ktk hali gan katka mbegu za kiume.
Wanajamii mna ulewa upi mwingine wa sexchat...tufunguane pamoja:flame::flame:
No wonder ID yenyewe inajieleza!!
Cc tabibumtaratibu
hahahaha kweli ni superkapeto sjui anadhana JF Kuna wakina sunche...
hahahaha kweli ni superkapeto sjui anadhana JF Kuna wakina sunche...
Hahaaaaa mbav zangu mie uwii
hahahahahaha uwiiii
usicheke sana bhas asije kapeto akanuna buree
Kweli kapeto asije goma leta thread nyingine za kikapeto hahahaha
Wadau na wakuu wa jamvi siku hizi kuna hulka ya kufanya mapenzi kwa kutumia simu au sms yaani tunaita sexchat, unaweza fanya hivi kama mpenzi wako yupo mbali na wewe.
Kama jogoo akiwika alfajiri na huna mwelekeo hata wa kwenda kwa dada Poa.
Sexchat kwa kiasi chake inahitajika utundu kwani ni lazima mtu awe na uwezo wa kuvuta hisia za mpenzi wake hadi aone ana Peez.
Japokuwa ina madhara kiakili kwan ukiendekeza hivi unaweza kuwa mbovu kitandani.
Asilimia kubwa ya watu walioko katika mitandao ya kijamii kama facebook, whatsapp, badoo hufanya haka kamchezo. Unaweza shangaa mpenzi wako kwanini ameng'ang'ania simu huku unaongea naye uso kwa uso yeye anachat kumbe anakojoleshwa au kumkojolesha mtu mwingine.
Mtu anayefanya sexchat mara kwa mara hasa mwanaume huwa na tatizo sana la uzalishaj wa mbegu za kiume.
Inashauriwa jiingize katika sex kila baada ya siku 2 kiafya but mtu anayefanya sex kila mara imagine anakuwa katika hali gani katika mbegu za kiume.
Wanajamii mna ulewa upi mwingine wa sexchat.
Tufunguane pamoja:flame::flame:
uuuwii.... Hahahahaaa..hahahaha kweli ni superkapeto sjui anadhana jf kuna wakina sunche...
sijajuaa kwan Tanzania yote ni Sinza:angry:Walivyotanda njiani sinza kila siku unazungumzia sexy chat si watakutukana
inamaanisha ujawaona ama??
No wonder ID yenyewe inajieleza!!
Cc tabibumtaratibu