Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Tanzania (JMAT) na mwakilishi Wa Mufti Mkuu Tanzania Sheikh Alhaj Mussa (Pichani) ameitaka jamii ya Tanzania kuacha kuwatenga mashoga na badala Yake Kuwa karibu nao naa kuwaasa kumrudia mwenyezi Mungu, kwani Mwenyezi atawasamehe.
Amesisitiza kuwa kuishia tu kuwalaani jambo Hilo halifai kwakua nao ni binadamu na wanahitaji msaada.
Abdul Ameir Kiongozi Mkuu wa Idara ya Usalama asiye rasmi ni shoga, ikumbukwe huyu mtoto wa kiongozi wa utawala hii na mmoja wa washauri wa karibu wa mtawala huyu ni Balozi na ni Shoga.
Haya unayoyaona yanazo baraka kutoka katika regime hii, utashuhudia mengi sana katika hili kipindi cha utawala huu wa kifashisti.
Hivi Jumuiya si alianzishwa kuelekea Oktoba, ni jumuiya iliyokusanya wanafiki na wajinga wakuu "Viongozi" wa kidini kusudi waeneze propaganda na ujinga kwa wafuatao wao kusudi mafisadi yaendele kutawala.