Tuzungumze Asili ya watu weusi duniani kote

Tuzungumze Asili ya watu weusi duniani kote

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
6,503
Reaction score
18,949
Kwa mujibu wa sayansi watu wote Duniani wametokana na nyani au sokwe mtu (chimpamzee) hivo maisha au uhai ulianzia afrika kisha kusambaa duniani kote. Ila mazingira ndiyo yalifanya kukawa na wazungu au watu weupe.
1- imekuaje IQ za watu weusi zikawa chini kulinganisha na watu weupe?

2- ni kwanini sasa hivi mtu mweusi kwa mweusi hawawezi zaa mtu mweupe (mzungu)?

3- ni kwanini miaka yote hii watu weusi wamejificha chini ya jangwa la sahara na kuzungukwa na bahari? Watu weusi walitoka wapi haswa yaani asili yao.

4- Wakati Biblia inaandikwa, je kuna uwezekano wazungu hawakujua uwepo wa watu weusi?

5- Ilikuwaje akina Batolomea Diaz na kina Vasco Da Gama walizunguke Bara la Africka bila kuhisi kuna watu humo?

6- Ikiwa tuliupinga ukoloni na kuukataa iweje leo tuzamie tena kwa wazungu tuliowafukuza?

7- Kabla ya kuja dini kwa watu weusi tulikuwa tunamuabudu Mungu yupi?

8- kabla ya kuja dawa za kizungu, tulikuwa tunajitibu kwa kutumia nini?

9- ina maana kwa miaka yote hiyo wazungu hawakuwahi kuona mtu mweusi mpaka kutuweka zoo kwa maonyesho.

10- ipi asili ya mtu mweusi

N.B Itapendeza kama utaleta reference za vitabu vya dini.
 
UJINGA WOTE ULIANZIA HAPA 👇🏾👇🏾👇🏾, WATU WEUSI TUNAPENDA UJINGA. Kaanani alikua nigga.

Mwanzo 9:24-28
24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.

25 Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.

26 Akasema,Na atukuzwe Bwana,Mungu wa Shemu;Na kaanani awe mtumwa wake.

27 Mungu akamnafisishe Yafethi,Na akae katika hema za Shemu; Na kaanani awe mtumwa wake.

28 Na Nuhu akaishi baada ya ile gharika miaka mia tatu na hamsini.
 
Ilikuaje mzungu nuhu akamzaa kaanani mweusi. Yaani kibaiolojia haiji kabisa.
Na pia haiwezekani dunia yote kujazwa maji yaani kisayansi ni ngumu sana.
 
Ilikuaje mzungu nuhu akamzaa kaanani mweusi. Yaani kibaiolojia haiji kabisa.
Na pia haiwezekani dunia yote kujazwa maji yaani kisayansi ni ngumu sana.
inatokea tu na mbilikimo walitokea vip unafikiri ?
 
Scientifically, binadamu waliopo wote ni homo sapiens na wote wametokea Afrika mashariki na kusambaa dunani, aina moja ila wenye adaptability features tofauti kama vile rangi nyeusi na nyeupe zilizotokana tu na uzalishaji tofauti wa melanini ili kukinga kiumbe na miale ya jua yenye uwezo wa kusababisha kansa.
 
Mbona sasaivi haitokei kwa mtu mweusi kuzaliwa n mtu mwepe Surya
Genetics. Umewahi kuona wapi Kunguru kataga Njiwa au Punda kazaa Swala? Mtoto atarithi moja kwa moja kutoka kwa wazazi. Nothing comes from nothing.
 
Ilikuaje mzungu nuhu akamzaa kaanani mweusi. Yaani kibaiolojia haiji kabisa.
Na pia haiwezekani dunia yote kujazwa maji yaani kisayansi ni ngumu sana.
Hizo ni fairly tales mzee, hakuna facts hapo.
 
Wakushitiki
Wahamitiki
Wasemitiki
Wanailotiki
Wabantu.
 
Back
Top Bottom