ndiyo maana mimi nikasema ni usanii, watatumia mabillion katika mchakato halafu mshindi atapewa zawadi ndogo tu.
Yani watu wako kwenye ujasiriamali ni sawa na navyosikia kuna mkutano wa wajasiliamali wanawake naskia linatangazwa redioni eti kiingilio kawaida tshs 50,000 v.i.p 100,000. Sasa najiuliza hao watakao udhulia si ni wanawake wenye pesa tayari maana mwanamke wa kawaida 50,000 kwake ni mtaji anaenda kukopa finca aanzishe biashara ya nyanya hivyo haiwezi itoa kulipia mkutano.
Na mimi nitakuja na tuzo ya mchangiaji bora wa jf