wengi wetu (nafikiri) hatujui kuwa 'GADO' ni Mtanzania.
Amefanya mambo makubwa na yanayokubalika kupitia cartoon na ameshatambulika mpaka nje ya mipaka ya Africa. Kiukweli mambo yake ni makubwa sana na ni aina ya binadamu wenye akili nyingi sana na kujua jinsi ya kuzitumia.
Vivyohivyo, tunaye mkuu Kipanya. Huyu mtu anatoa mchango mkubwa sana. Watu wengi ni wachoraji wazuri zaidi yake lakini ule mtazamo wake (vision) juu ya maisha pamoja na confidence aliyonayo vinamfanya awe kwenye nafasi ya pekee hapa Tz. ...but you know what!!!???? ...wengi hatujui hili!
Cartoon ni nzuri na zinaelezea uhalisia wa mtz/Africa