Waume bana utasikia
1: mi sipendi mwanamke mchunaji/ mizinga
2: mimi staki wadada wenye degree /kazi ni pasua kichwa
3: ukioa mwanamke darasa la 7 uta enjoy ndoa ππ
4: mahali ni kudhalilisha kama vile tunanunua bidhaa ( anasahau kama na babu yake alitoa mahali)
5: sipendi mwanamke anajifanya clasicπππ
6: sipendi mwanamke anaeomba hela. π atakuombaje kama unayo na unampaga?
Nb ukiona hizo dalili wala usiulize ntazame uone mwisho wake.