Tuwe wawazi kwa hili sio fresh

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,256
23,921
Hatukatai wadau jf kuwa mpo fresh na mnaendelea na majukumu.

Ni hivi mbona waliooa siku mingi kama 2000 nakuendelea mbele mpaka 2010 hawawatu wanakuwa natabia ya kuficha mahusiano yao?

Mtu hawezi sema nimeoa mpaka alete mtarafuku na maugomvi kati ya mchepuko na wife ndio anasema shida yao nini??

Maana wengine hadi napete tokea aoe havai .
Acheni kuumiza watu maisha sio hivi mnavyoishi.
Kwani ukisema umeoa unapungukiwa na nini??

Ipo siku mkeo ataletewa shida kubwa tu na mchepuko .
Unakuta mchepuko ni mjeda au ni polisi au ni mnyanyua vyuma na hujamwambia unamke.

Haya ipo siku mtarekebishwa na mtatulia yangu machoo nimewasilisha.
Ujumbee umefika .
 
Pole sana,ndiyo ukubwa huo.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom