Tuwe wawazi kwa hili sio fresh

Hujaelewa swali. Umesema wewe hutembei na vya watu, ndio nakuuliza unajuaje ni vya watu na kwenye thread unalalama hawajitambulishi?
Hata wewe hujaelewa jibu langu.
Nitamjuaje aliyeoa cha kwanza muonekano.
Pili maongezi yake

Halafu wanawake marafiki zangu wanakuja wanalalama wengine ndugu zangu mbona hivyoo??
Halafu tunawasaka
 
Hatukatai wadau jf kuwa mpo fresh na mnaendelea na majukumu.

Ni hivi mbona waliooa siku mingi kama 2000 nakuendelea mbele mpaka 2010 hawawatu wanakuwa natabia ya kuficha mahusiano yao?

Mtu hawezi sema nimeoa mpaka alete mtarafuku na maugomvi kati ya mchepuko na wife ndio anasema shida yao nini??

Maana wengine hadi napete tokea aoe havai .
Acheni kuumiza watu maisha sio hivi mnavyoishi.
Kwani ukisema umeoa unapungukiwa na nini??

Ipo siku mkeo ataletewa shida kubwa tu na mchepuko .
Unakuta mchepuko ni mjeda au ni polisi au ni mnyanyua vyuma na hujamwambia unamke.

Haya ipo siku mtarekebishwa na mtatulia yangu machoo nimewasilisha.
Ujumbee umefika .
Sasa mchepuko uliokakamaa namna hiyo wa kazi gani?
Dada acha kuitesa Papuchi kiasi hicho
 
Hatukatai wadau jf kuwa mpo fresh na mnaendelea na majukumu.

Ni hivi mbona waliooa siku mingi kama 2000 nakuendelea mbele mpaka 2010 hawawatu wanakuwa natabia ya kuficha mahusiano yao?

Mtu hawezi sema nimeoa mpaka alete mtarafuku na maugomvi kati ya mchepuko na wife ndio anasema shida yao nini??

Maana wengine hadi napete tokea aoe havai .
Acheni kuumiza watu maisha sio hivi mnavyoishi.
Kwani ukisema umeoa unapungukiwa na nini??

Ipo siku mkeo ataletewa shida kubwa tu na mchepuko .
Unakuta mchepuko ni mjeda au ni polisi au ni mnyanyua vyuma na hujamwambia unamke.

Haya ipo siku mtarekebishwa na mtatulia yangu machoo nimewasilisha.
Ujumbee umefika .
Pole kwa yaliyokukuta but grow up lady. mtu aliyeoa mwaka 2000 hakosi miaka 45-50,sasa umri huo anakudabganya kuwa hajaoa na unaaminj
 
Back
Top Bottom