Tuwe wakweli: Ungekuwa Lissu usingefanya na kusema kama yeye?

Ameenda kulalamikia sehemu isiyo sahihi!
 
Eti na africa kawaida ??? Boya wewe uko ndani unahangaika na mbu wako unajiandikia tu. Ungepigwa ww kofi tu wala sio risasi ungekuwa wapi ??? Acha kujaji vitu baada ya kushiba na kujamba kwa shibe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maanisha watu na hasa wabunge wanyamaze kimya hata kama wanaona kuna vitu haviko sawa?
Kwa hiyo unahalalisha mtu kuuawa kisa kakosoa au kuibana serikali?
Hakuna kitu mbadala ya kuua?
Hiyo ndo sheria au ni mlengo gani unafuatwa hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba Tarabushi,Ngudai aaa Ndugai na Lumumba yote hawalali ,wanahangaika kweli na lissu si mtulie tu awataje muanze kujiandaa kwenda the Hague (ICC).
 
Kuna watu wanamlaumu pasipo sababu mateso aliyoyapata Lissu ni siri yake binadamu anajijali binafsi mateso ya mwingine hayamhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Res ipso loquitor
 
Natafuta contacts za alushababu hapa sizipati. Mwenye nazo anifowadie tafadhali.
 

Asante sana ndugu, hoja nzuri, maswali mazuri ya kufikirisha sana....

Kwa maoni yangu, kwa wengine wasivyojua na hata kuelewa umuhimu wa kujiwekea hazina mbinguni....

Ingewatokea situation hii, wasingepata msaada wowote kwa yeyote na hata kwa Mungu mwenyewe.....

Wangeshakufa maana hawakujiwekea hazina wenyewe huko mbinguni ambako nondo na kutu havipo!!

Hazina ninayozungumzia hapa ni kuwapenda na kuwasaidia binadamu wenzako wanapokuwa wahitaji (needy).....

Siku na wewe ukiwa muhitaji, Mungu akiangalia hazina yako anaona imejaa na Mara moja anaonekana wakati was mahitaji yako....

Hivi ndivyo ilivyo kwa Tundu Lissu. Tujifunze kutoka kwake
 
Yaani wazungu hawawezi kuelewa siasa za Africaa!!! huu nii u....***ila unaonekana mwoga unapigwa na mkeo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

1. Kwa hiyo alichofanyiwa ni justified hata kama alikuwa anasema ukweli!

2. Kwa hiyo serikaliikifanya makosa hata kama yanaumiza wananchi wake wasiseme sana watulie kidogo kuipa nafasi. Kwa kutumia mfano wa kule Sudan na Venezuela tusaidie kujua hiyo kidogo kama imeshafikia au bado ili tujue kipimo vizuri.

3. La paka linafanana na namba 2

4. Fight Smart na sio agressive pia kama 2


5. Uki pitia harakati zote za Lissu na wenzake wote kama akina Mbowe angefanya nini ambacho ni bora zaidi kufikia malengo yake kukomesha vitendo asivyofurahishwa navyo( Tundu kapigana miaka 25)?
 
Tujifunze nini hasa Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…