hatibu juma
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 278
- 37
SHULE BILA ADA:
Usitegemee ipo siku Serikali itaanza kugawa hela ili maisha yawe RAHISI...Never..Tangu enzi za Nyerere Mpaka Enzi za Jakaya kuna watu wamekuwa wakilalamika MAISHA NI MAGUMU lakini katika hayohayo maisha magumu MATAJIRI WALIKUWEPO na hata sasa MATAJIRI WAPO...
Kupoteza muda kulalamika MAISHA NI MAGUMU hakutayabadilisha Yawe Marahisi...Kitakachobadili kauli hii ni WEWE KUBADILIKA...Maisha hayatabadilika kamwe kama Wewe hubadiliki...
Unaishi maisha yaleyale,Una marafiki walewale,Unaishi kwa mbinu zilezile halafu unategemea LIFE WILL CHANGE...How??Kwa MAGAZIJUTO??
Wenzio kila siku wanatoka kimaisha wewe unabaki unatumbua macho tu kama umefumaniwa na Mke wa Askari wa BOKOHARAM,Life will always be tough if you are not TOUGHER enough to challenge it..
Kuwa Tough mpaka Maisha yenyewe yakikuona umeamka asubuhi yajue THE TROUBLEMAKER IS AWAKE!
Kuna wakati hapa juzi nilijihisi NNA VITU VINGI SANA nafanya mpaka nilipokaa na Mzee 1 ambaye ameoa,he is over 50 years na ameajiriwa,akanifungukia kuniambia mambo anayofanya..NIKASEMA SHKAMOO,kumbe mimi bado sana
Ana ajira inayomkeep Busy kama wengi wetu humu..Anafuga Nyuki wa Asali...Anafuga Samaki...Analima Mahindi..Ana mashamba ya Alizeti...Analisha Chakula..Ana tenda za kwenye Meli..Anafanya Cleaning service...Niliondoka ofisini kwake kwa hasira isiyo mfano nikasema kumbe bado nna mengi ya kufanya..
UNA REVENUE STREAMS NGAPI??Unalala kutegemea Mshahara tu ambao una PAYE na PPF???Wenzio wana Mirija 10 ya Kuingiza hela mwisho wa mwezi na wanainvest zaidi...Sawa Maisha ni Magumu,JE UMEFANYA JITIHADA GANI KUYALAINISHA???Tangu uanze kulalamika Maisha Magumu umeongeza hata sh 50 mezani???CHANGE UR LIFE OR DIE,kelele hazisaidii...! Maneno mengine ya ukweli hapo yanaumiza!
Yeloooioooo