Tuwe wakweli jamani.Mtaani kwenu hali ipoje Iddi ya leo?

Hali ipo kama jana na juzi. Maustadh wapo ma mishe mishe baada ya swala wametinga kwenye mishe za kisaka pesa. Hii safi. Kidogo ugumu wa maisha unafanya tuanze ku-adapt maisha ya mchaka mchaka na kupunguza sharehe zisizo na maana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom