NBC! Hii ishauzwa kwa wawekezaji wa nje kitambo sana!tuwe wakweli hivi TPB, NBC na NMB ipi ni bank ya serikali???
maana wikipedia inasema
TPB serikali inamiliki 85%
NMB serikali inamiliki 30%
NBC serikali inamiliki 30%
Ukweli unatuweka huru... je ni bank ipi ni ya serikali kati ya hizi bank???
Kwani NMB haijabinafsishwaKwa ninavyofahamu Mimi NBC ilibinafisishwa enzi za Benja kwa kampuni ya ABC kutoka South Africa
Nimezungumza ninachokijua mkuu, usiniulize nisichokijua maana ntakujibu uongoKwani NMB haijabinafsishwa
Mkuu hata NMB lakini bado serikali ina hisa 30% kwenye hizo benk.NBC! Hii ishauzwa kwa wawekezaji wa nje kitambo sana!
Serikali ina hisa ndani ya NMB na sio NBC.Mkuu hata NMB lakini bado serikali ina hisa 30% kwenye hizo benk.
Mkuu hata NMB lakini bado serikali ina hisa 30% kwenye hizo benk.
Mwenye majority ndiye msemaji,ndiye mwenye uamuzi hata hesabu anatengeneza yeye,ndiyo mwenye menejimenti, Serikali ina B.o.T.tuwe wakweli hivi TPB, NBC na NMB ipi ni bank ya serikali???
maana wikipedia inasema
TPB serikali inamiliki 85%
NMB serikali inamiliki 30%
NBC serikali inamiliki 30%
Ukweli unatuweka huru... je ni bank ipi ni ya serikali kati ya hizi bank???
Mkuu takwimu zinaongea!tuwe wakweli hivi TPB, NBC na NMB ipi ni bank ya serikali???
maana wikipedia inasema
TPB serikali inamiliki 85%
NMB serikali inamiliki 30%
NBC serikali inamiliki 30%
Ukweli unatuweka huru... je ni bank ipi ni ya serikali kati ya hizi bank???
Benki zetu siku hizi ni mpesa, tigopesa na wengine kama hao
hizi zipo Dar. ...huku mbwinde hakunaBenki za serikali ni Twiga, TIB, TPB