Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,098
- 8,205
Ni maamuzi ya mtu binafsi.
Bora kujiokotea namba A tu hazinaga mapepe. Sema upate ambayo inaweza ku ConcieveKatika wanawake ambao nilishawahi kuwa na mahusiano nao walionizidi umri hawajawahi kunisumbua, ila kuna hivi vishokomzobe vya chuo unaweza kupasuka kichwa.
Nenda rudi nyingi, leo yes kesho no. Yan ilimradi kakuone unapata shida. Aaah!!
Mkuu kuhusu ku conceive namba A nyingi unakuta tayari imetangulia 1-0 sometimes 2-0 na kuendelea.Bora kujiokotea namba A tu hazinaga mapepe. Sema upate ambayo inaweza ku Concieve