Watanzania tumekua wavivu sana wakusoma vitabu mbali mbali kwani vitabu huongeza maaarifa na uwezo wa kufikiri kwa kiasi kikubwa. Tuwajengee watoto watu moyo wa kupenda kusoma vitabu. Na kwa wale ambayo wangependa kuwa na misamiati mingi wakati wa kuzungumza na kujenga hoja. Njia hiyo iko very aplicable