Tuwe makini

Tuwe makini

mpare wa milimani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
293
Reaction score
302
Habari zaleo ndugu zangu, kuna mtu Facebook anajiita bidhaa mtandaoni anadili na kuuza furniture,mikoba na nguo na namba za cm kaweka jamani nitapeli balaa,mi ni mmoja ya waliolizwa, lkn nashangaa anajiamini nini namba habadilishi na kaisajili kwa jina hilohilo la bidhaa mtandaoni, naomba aje akamatwe.
 
usirudie kurudisha matapishi mdomoni. utanunuaje mtandaoni?
 
Acheni uvivu sasa muwe mnaenda madukani, sio kungoja kuletewa!!
Daily mnapigwa afu hamshituki daah!
 
Unaomba aje akamatwe???kweli kauli yako inaonesha ushakubali kuliwa
 
Hakuna kitu rahisi km kuwatapeli watanzania, maana ni wavivu wa kufikiri na kutenda pia, wanapenda dezo dezo. Ukitaka kuelewa hili angalia makampuni ya betting yanavowapiga hela wajinga wajinga wanaocheza!

Unaponunua bidhaa Facebook tena kwa kigezo cha picha na number ya simu Ww ni Kwamba huna akili kabisa!
 
Vipi wale wanaonunua bidhaa kwenye App ya Kikuu
 
Vipi wale wanaonunua bidhaa kwenye App ya Kikuu
Sijui Hiyo app aisee.

Mm km naagiza bidhaa nje Hapo Ndio nitatumia wakala km EBAY, Ali Baba nk, kwa hapa kwetu nitaenda mwenyewe au km ni mkoa tofauti nitamuomba mtu aninunulie anitumie basi!
 
Sijui Hiyo app aisee.

Mm km naagiza bidhaa nje Hapo Ndio nitatumia wakala km EBAY, Ali Baba nk, kwa hapa kwetu nitaenda mwenyewe au km ni mkoa tofauti nitamuomba mtu aninunulie anitumie basi!
Kuna app inaitwa kikuu
ex gf wangu alikuwa anaagiza vitu huko na alkuwa anavipata japo sometimes havikuwa na ubora aliotegemea
 
Back
Top Bottom