mpaka mimiCku hizi kila mtu mganga
Tena ww ndio unabandika vibao mtaani mganga toka sumbawangampaka mimi
Wakuu wa JF..
Kumetokea wingu la watu wanaouza dawa za asili kwenye mitandao ya kijamii kama vile instagram, facebook n.k...
Sina uhakika na taaluma za wauza dawa hawa ila wengi wao wanatangaza dawa wanazonadi zinazobadilisha maumbile kwa wanawake na wanaume na matatizo common kama vile kupunguza uzito, kuongeza nguvu za kiume n.k...
Kutokana na kukosa udhibiti wa uuzaji wa dawa hizi na kuibuka kwa wajasiriamali hawa kuuza dawa nyingi kwa wakati mmoja..
Je hakuna uwezekano wa siku moja mtu kuchanganyiwa dawa ya kupunguza kitambi ukapewa ya kuongeza makalio au hipsi?
Je ninani anahusika katika udhibiti wa hawa watu?
Watu wengine wana roho nzuri kwelikweli,yaani anawaza kumfurahisha mwingine kwa gharama ya maisha yake. Kila mtu awajibike kwa utamu wake mwenyewe tuache kujiongezea stressHuwa nashindwa kuwaelewa watu ambao hawajiamini na maumbile yao.
Kwanini usijikubali kwa vile ulivyo?
Hivi watu huwa hawajifunzi madhara wanayoyaona kutoka kwa wenzao!
Jiunge na freemason,pete ya bahati, ndoa, kumrudisha mchumbaHA HAAAA....huwezi kosa haya matatizo MAPENZI...KUMTULIZA MUMEE...FREE MASON....ELA ZA MAJINI
Suluhisho la maradhi ni kwenda hospital tu, huyo anayekufanyia maombezi mwenyewe akiumwa anakimbilia hospitalSoko huria, ukiliwa utaugulia kimya kimya, na kuwazuia ni ngumu, maana mtandaoni, mkishapeana namba popote pale mnakutana na kupeana.
Una tatizo, nenda hospitali ama kwenye maombi ktk imani yako.
Ahsante!
mi nadeal na hiyo ya mwishoJiunge na freemason,pete ya bahati, ndoa, kumrudisha mchumba
Hahahaha... Kwahiyo ndio umenirudisha?mi nadeal na hiyo ya mwisho