Hata mm nimekuwa na mashaka sana na vyuo vnavyochipuka kama uyoga kama vna vigezo vya kutoa elimu husika!
Ofisini kwetu kumefanyika mchakato wa scheme of services so watu wamepanda madaraja na mishahara kutokana na sifa zao...but Msala umewakumba wale wenye baadhi ya vyeti vya CHEMWALI College..maana katika mchakato havijawa considered..kama ndo alisomea advance diploma..basi katika mchakato kimehesabiwa cha nyuma yake imagn so hiko ni hewaaaaaaaaa...TUWE MAKINI kwa watoto wetu na Wadogo zetu ambao bado wako kwenye hatua za kusoma
Heri yako mwenye ajira...wengine tupo tupo2 kitaani
open university of Tanzania vp?
nyie madogo epuka xana na vyuo ambavyo haviko registered. mara ooh, chuo kipo gorofa ya tatu, mkabala na stand kuu, epuka xana.
Nonsense!
Ofisini kwetu kumefanyika mchakato wa scheme of services so watu wamepanda madaraja na mishahara kutokana na sifa zao...but Msala umewakumba wale wenye baadhi ya vyeti vya CHEMWALI College..maana katika mchakato havijawa considered..kama ndo alisomea advance diploma..basi katika mchakato kimehesabiwa cha nyuma yake imagn so hiko ni hewaaaaaaaaa...TUWE MAKINI kwa watoto wetu na Wadogo zetu ambao bado wako kwenye hatua za kusoma
open university of Tanzania vp?
kwanini...!!!Nonsense!
Hicho we soma tu. usihofu kwani ni cha sirikali. Dr. Asha Rose Migiro ndo Chancellor mpya kwa sasa.

chancellor mpya ni pindaHicho we soma tu. usihofu kwani ni cha sirikali. Dr. Asha Rose Migiro ndo Chancellor mpya kwa sasa.
hii post iliandikwa enz zile akiwa migiro.....saiv ni Pindachancellor mpya ni pinda
migiro sasa hivi baloz
Je kinatatizo gani?Jordan University College. Duuuuh!