Tuwe makini kwenye kutoa ushauri program za afya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,344
Wakati wa kuchagua programs na vyuo vya kwenda kusoma ndio huu. TCU mwaka huu kwa kiasi fulani wamebadilisha vigezo vya kusoma programs za afya hasa MD, DDS na Pharmacy.
Tunapotoa ushauri kwa waulizaji ni vyema tukazingatia andiko la TCU ili waombaji wawe na facts. Ni mwaka mgumu lakini tujitahidi. Mfano ni hizi programs tatu pendwa lakini document nzima iko TCU.



Point nane na ufaulu uliowekwa ndo ukiwa navyo unaweza kufikiriwa kudahiliwa. Lakini kila chuo kitaweka viwango vyake ambavyo vinaweza kuwa juu zaidi (TCU guide itatueleza au webpages za chuo).
 
Ile document kimsingi inapunguza maswali mengi sana

Naomba applicants wapya waipitie tafadhali
 
watu naona hata mimi wanashauri tu kwamba"utapata"bila kuangalia hizo pointi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
So chuo husika kinaweza kikashusha au kupandisha hizo point?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…