Tuwe machizi tu labda tutaeleweka

Seif Kazige Mbambizi

Senior Member
May 7, 2016
135
92
Hakiri ni nini?
Kila siku tunajipa moyo kwamba siku moja kitaeleweka lakini siku zinakwenda hakuna jipya maisha ni yale yale ugumu ni ule ule siaamini upande ule kwasababu ni wale wale ni kama binamu tu, ni watani siku zote hakuna jinsi labda tutafute njia ya pili
 
Back
Top Bottom