ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,853
- 60,790
Watu tuna mambo mengi
Sio wasanii tu, ila hata kazi za nyumbani, ikiwemo watu wa technology ndo hasa wameachwa nyuma sana, nimeona kuna watanzania wako safi tu na wanatengeneza good software lakini unakuta customers wao wengi ni wakenya, nigeria, wa nyumbani ni kama wamelala wanarukia vya USA tu. Tungekua tunasupport vitu vyote vya nyumbani tungekua mbali sana, hizo ni hela za nje tunavuta nyumbani. Kampuni kama JamiiForums hela wanazolipwa na ad companies kama Google ni hela inatoka nje, tukisupport na products nyingine nyingi za bongo tutaona watu wengi wanajihusisha na software na mwisho wa siku ni watu wote watapata services nzuri zaidi.
Wasupport hao wanasiasa!!!! endelea kuwasapoti
Mambo mengi kitu gn tuwachangie japo kdg
Wasupport hao wanasiasa!!!! endelea kuwasapoti
Mbona wao waliwasupport wanasiasa kwanini wanasiasa wasiwasupport???
Wanasiasa watawachangia tu sihuwa wanakubali kutumika ka tissue watajijua wenyewe acha waisome namba
Diva VP kuhusu wale maunderground wanafanya vizuri pia na hawakushiriki kwenye kampeni
Hao je?
Ndugu wa humu JF kwa heshima na taadhima naombeni kuwashawishi nyote tuwe na upendo na hawa wasanii wetu wote kwani sanaa yetu itakapokuwa basi hata taifa letu litakuwa kiuchumi.kwa mfano Nigeria wapo juu kwenye soko LA movie hapa afrika na dunia yote. Natambua ni jinsi gani wasanii tumekuwa tu kiwachukia kutokana na Aidha skendo zao au maisha yao nje ya sanaa hayatupendezi
Lakini nataka nikupe moyo ewe mtanzania mwenzangu kuwa muda wa kuanza kupenda vya kwetu ni huu..embu pata picha ingekuwa we ni msanii unajituma kwa bidii kutoa kazi zako za sanaa alafu RAIA wenzako wanajifanya kama hawakuelewi ungejisikiaje?kiukweli wasanii wa nyumbani wanajitahidi tatizo wanapofanikiwa kdg wanaanza kuleta mambo za ajabu mpk unashindwa kumuelewa lakini hz ni tabia za binadamu karibuni wote hivo sisi tupende kazi zao hivohivo tusiwe na roho ya kuwasusa bila sababu za msingi
Tuuvae ubinadam kipindi magufuli anajaribu kurudisha uzalendo nchini sisi huku tujitahidi kununua kazi za wasanii tuwape ushirikiano.tusahau kuhusu ya nyuma pia wasanii nao kwa kutambua heshima tutayowapa wajitahid kuepuka kashfa na hasa hawa wa bongo movie na bongo fleva,kwa wale wanaofanya Sanaa nyingine wazidi kukaza ili taifa litangaze utamaduni
Asanteni sana kama utakuwa umenielewa na kwa moyo wa dhati unakwenda kuachana na hii biashara ya mawivu
Mbona wao waliwasupport wanasiasa kwanini wanasiasa wasiwasupport???