JF napendekeza tuwaunge mkono jukwaa la Wahiriri kwa hii issue ya Paulo. Mimi napendekeza tuanze kuwa unfollow wale wote wanaendelea kumsupport Paulo huku kwenye social network.
Nataka wajue kwamba bila sisi hakuna anayeweza kuwa king of social media. Tusiishie hapo, hata msanii yeyote akiendelea kurusha habari za Paulo basi tum-unfollow. Lazima wataomba pooo.
Nawasilisha.