R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Mchungaji Gwajima kumpiga BAN Mkuu wa Mkoa Makonda Kwenye Mahubiri yake ili kuunga mkono Jukwaa la wahiriri?
Mchungaji alipokuwa akiongea na uongozi wa Clouds kakubali kuisafisha Radio Clouds na kuunga mkono waandishi wa habari ; ni wakati wa kuungana nao kuanzia leo ; asiongelee story yoyote kuhudu makonda.
Mchungaji Gwajima nilitegemea pamoja na waumini wako sisi hapa na mikoani , tumehuzunishwa na kukerwa na picha inayozidi kuangaliwa YOUTUBE , Kuwa umezaa na mmama watu wanahoji DNA
Tunaomba uchukue hatua zifuatazo
Kufungia kuingia Kanisani kwa kipindi cha miezi 6
Tunaomba kutotaja Paulo Makonda katika ibada zote za Kanisa la ufunuo na uzima , Pia na wasaidizi wako , Sisi waumini hatutashirikianan katika mambo ya Ibada za Kanisana (Tumtenge) nae mpaka akuombe msamaha