Tuwatake radhi waarab!

Tuwatake radhi kwa kutaka kuwafanya kisingizio kwa udhaifu wa Serikali yetu na vyombo vyake vya usalama!
 
DW KISWAHILI wametanga sasa hivikuwa nchi ya tanzania inatakiwa kuwaomba msamaha haswa nchi za wale watu waliokuwa wamekamatwa kwa kushukiwa wa ugaidi. Naona kazi imeanza na hii ni kutoka na kuwa na dola dhaifu.
Professor Lipumba ndio amesema
 
Bora uvunjike kwani hauna manufaa kwa Taifa letu zaidi kutuibia rasilimali zetu hususan wanyama wetu.Naamini hata wale ndugu zetu kule loliondo watapata nafuu kwa wale waarabu kuondoka.Rais anapewa UPANGA then yeye anawapa TWIGA
 
kazi imeshaanza lazima nchi yetu iko kuwa na vilazi wa ktokujua nini maana ya ugaidi na kukamata watu bila sababu
 
hapa lazima kutakuwa kuna shinikizo la nchi husika maana haiingii akili kama polisi walikurupukabali kuna kitu kilicho jificha nyuma yake
 
serikali lazima ifanye haraka kuomba Radhi hayo mataifa ya SAUDIA ARABIA na UAE..Sio aibu bali ni uungwana na ustaarabu..Picha iliyokuepo ni DUNIA nzima ilijua kua SAUD na UAE wame export ugaidi na ingeweza kuleta picha mbaya kwa raia wengine wa hizo nchi wawe stigmatized na wahisiwe ndivyo sivyo...PILI hizi nchi ni heavy weight kwenye uchumi wa DUNIA na endapo watafunga BALOZI zao hapa nchini basi ujue uchumi wetu unaweza pata shida kwani mafuta ndo yanatoka kwao na bado kuna WATANZANIA wengi mno wapo uko wanapiga kazi...BTW ni ustaarabu ata kwa raia mwingine ambae ameonewa
 
mkuu hamna kazi hapo au ujui kua fastjet ni dhaifu na aliongwa koti pia nahisi umesahau kua amepanga kwenda huko uarabuni kwaiyo hiyo isikupe taabu itafanywa vizuri sana na serikali dhaifu ya fastjet.
 
Washagundua viongozi wa Tz ni dhaifu wanawachukulia maujiko
 

Ikibainika kwamba hakukua na sababu za msingi za kuwakamata wale waarabu isipokuwa tu kwa sababu ya coincidence ya kuingia na kutoka kwao Arusha pamoja na uarabu wao na tukio la ulipuaji bomu kanisani, Kama mimi ningekuwa waziri wa mambo ya nje ningeishaomba radhi toka jana jioni.
 
Basi na hawa watuhumiwa wazawa waachiwe, nilishangaa baada ya kusikia RPC wa Arusha akisema hawa waarabu wilikamatiwa Arusha, wakati awali alisema wamewakamatia Namanga wakijiandaa kuvuka mpaka.

Pia alisema waliwakamata kwa msahada wa simu za watuhumiwa wazawa, kwa maana kulikuwa na link ya mawasilianao kati ya hawa wazawa na waarabu.
Binafsi nawashahuri hata hawa watuhumiwa wa ndani waachiwe uchunguzi uanze upya, wasije kuwatesa bure posipo ushaidi wowote.
 

Hii ndio faida ya tabia za ujumla za waarabu kupenda ugaidi!!
Pole yao, wabadilike sasa kujilipua na kurusha mabomu kwa watu wasio na hatia..hili ndilo balaa lake!!
Hata wakiombwa radhi...waache tabia za ugaidi!
 
Mfumo kristo ndo ulipelekea kukamatwa waarabu wakijua kuwa ni waislam na kupishana na wahusika walio lipua wakitokomea mtaani, lazima waombe radhi:heh:
 
MaskiniTanzania yangu, na nyie mnaeona ni uzembe wa polisi, nakuita polisiccm, kweli mnauchungu na nchi hii? Sijui ntachagua chama gani 2015!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…