Hahahahahha..kuna msemo huwa unatumika sana eti wakili .......... msomi, sasa najiuliza ni wapi hao mawakili ambao sio wasomi hebu naombeni tuwataje
Hili neno hutumika kwa wanasheria kwa ujumla na siyo mawakili tu, yaani inajumuisha mahakimu hata na majaji. Hii si kwa Tanzania tu bali duniani kwa ujumla.kuna msemo huwa unatumika sana eti wakili .......... msomi, sasa najiuliza ni wapi hao mawakili ambao sio wasomi hebu naombeni tuwataje
Sababu ya kulitumia neno msomi ni ipi na manake ni nini ndo tunachotaka kujua ni kwanini ilo neno liwepo maana kila mtu ni msomi kwa taaluma yake so haya mambo ya kuogopeshana mara wakili msomi mara sijui nini mimi waga siyaelewiHili neno hutumika kwa wanasheria kwa ujumla na siyo mawakili tu, yaani inajumuisha mahakimu hata na majaji. Hii si kwa Tanzania tu bali duniani kwa ujumla.

Sababu ya kulitumia neno msomi ni ipi na manake ni nini ndo tunachotaka kujua ni kwanini ilo neno liwepo maana kila mtu ni msomi kwa taaluma yake so haya mambo ya kuogopeshana mara wakili msomi mara sijui nini mimi waga siyaelewi
kuna msemo huwa unatumika sana eti wakili .......... msomi, sasa najiuliza ni wapi hao mawakili ambao sio wasomi hebu naombeni tuwataje
Mwalimu anakuwa educated siyo learned!mwalimu msomi hawa wengine wanajita wasomi ni kenge tu