Tuwataje ma-genius wa siasa Tanzania

pocha2

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
890
396
Wakuu nawaalika mtaje wenyewe list ya ma-genius wa siasa za Bongo mi naanza na Edward Ngoyaye Lowassa, Freeman Alkael Mbowe, John Mnyika, ...... Tuendelee
 
Julius Nyerere
Oscar Kambona
Bi Titi Mohamed
Rev Chris Mtikila

Hao ndio nguli wangu wanaoweza kutetea kile wanachoamini na wala si masrahi binafsi ama unafiki wa kuangalia upepo unapovuma.
 
Haaa hàa, Kumumba pia wapo akina Nape, Kinana n.k, au hawa vipi
 
kwa siasa za kweli ni zitto pekee na nafsi za watu wengi zinakubali ila machon wanakataa
 
Back
Top Bottom