Tuwashauri hawa akina Dada.

Tuwashauri hawa akina Dada.

Rauyah

Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
28
Reaction score
13
Naomba tuwashauri hawa akina Dada na vijitabia vyao.

1.Wanaopiga picha za' Utupu.
Hivi inakuwaje mdada unakubali kujifotoa au kufotolewa picha za utupu?Huoni hata haya.Imekuwa jambo la kawaida kukuta picha za mabinti zikizunguka mitandaoni.Wengine private parts zao zinafanana na za masokwe lakini unakuta wamizianika kana kwamba ni nyota zinazowaka usiku wa kiza.Kuna wengine nimesoma nao chuo naziona picha zao kwenye mitandao.Msomi kabisa unafanya huo ufirauni?...Msomi?

2.Wanaovaa vivazi vya ajabu.
Unakuta msichana amevaa suruale imeshuka chini hadi mstari kontua wa ---- unaonekana.Mi najiulizaga huwa hawasikii hata kaupepo kakipenyeza kunako kontuani.Au ni makusudi tu kututia vishawishi?..Wengine unakuta harufu za nnya zinapanda kama dampo la maji taka.Sema tu tunavumiliaga.Wengine mistari yao ya kontua myeusi kama mkaa na ukurutu hadi ukoko alafu eti anatuonesha.Mi huwa saa nyingine natema mate pembeni coz its so disgusting.Unaweza ukatapika.Mtu hajachamba vizuri alafu anatuonesha likontua lake libaya.Mjirekebishe bwana.
 
Usipanic kaka, tuliza mzuka kisha andika ukiwa katika wakati mzuri. Nashidwa hata kutoa ushauri kwa the way munkari wako ulivyo juu
 
Umeonaeee
 
Attachments

  • 1390332398250.jpg
    1390332398250.jpg
    19.7 KB · Views: 312
Kwa nini usingeanza wewe kwa kuweka mada yenye kuonesha ushauri...
 
Sa utamshaurije na jitu limeshashindikana? mwambie akushushie ya Wabunge...!! haya ngoja nipite mie
 
fahari ya macho kuona nyie waphotoen siye wengne watazamaji
 
Usipanic kaka, tuliza mzuka kisha andika ukiwa katika wakati mzuri. Nashidwa hata kutoa ushauri kwa the way munkari wako ulivyo juu

Lazima jazba zipande.Mi napanda daladal na Mwanangu alafu tunashuhudia vitu kama hivyoo!...Eeee Mungu msaidie Mwanangu maana huko tunakoelekea ni pabaya zaidi.
 
Kwa nini usingeanza wewe kwa kuweka mada yenye kuonesha ushauri...

Mada yenyewe imekaa kiushauri.Labda wenye hivo vitabia wakiona watajirekebisha.(Naomba Mungu iwe hivyo)
 
bora we umeogea maana wanaboa unakuta mdada kavaa surali imembana kama ngozi vitako vidogo kama duet. xaxa kuna wale wenye nyuma lawana wakiona unaangalia xaxa ndio anafanya sifa anatigasha na vibration kama cm za black berry kweli wanabowa
 
Mada yenyewe imekaa kiushauri.Labda wenye hivo vitabia wakiona watajirekebisha.(Naomba Mungu iwe hivyo)

Mmmh!!! naona matamshi mengi yamekaa kukandia au kushangaa
 
hao uliosoma nao naomba picha zao tafadhali, usisahau kunitumia...
 
Feedback usisahau, yaani baada ya kuwashauri nini kimetokea. Hii itatusaidia sana kimkakati ktk kuimpose moral zinazofaa kwa jamii.
 
Mh! Kuna kausemi wao kuwa wanaenda na wakati. Kumbe ni ubatili tu mbele ya Mwenyezi
 
Really???? Mungu angetuumba na nguo basi.
BTW kati ya muuaji, mzinzi, mwizi na anatembea nusu uchi nani mdhambi kwa maoni yako?
 
Naomba tuwashauri hawa akina Dada na vijitabia vyao.

1.Wanaopiga picha za' Utupu.
Hivi inakuwaje mdada unakubali kujifotoa au kufotolewa picha za utupu?Huoni hata haya.Imekuwa jambo la kawaida kukuta picha za mabinti zikizunguka mitandaoni.Wengine private parts zao zinafanana na za masokwe lakini unakuta wamizianika kana kwamba ni nyota zinazowaka usiku wa kiza.Kuna wengine nimesoma nao chuo naziona picha zao kwenye mitandao.Msomi kabisa unafanya huo ufirauni?...Msomi?

2.Wanaovaa vivazi vya ajabu.
Unakuta msichana amevaa suruale imeshuka chini hadi mstari kontua wa ---- unaonekana.Mi najiulizaga huwa hawasikii hata kaupepo kakipenyeza kunako kontuani.Au ni makusudi tu kututia vishawishi?..Wengine unakuta harufu za nnya zinapanda kama dampo la maji taka.Sema tu tunavumiliaga.Wengine mistari yao ya kontua myeusi kama mkaa na ukurutu hadi ukoko alafu eti anatuonesha.Mi huwa saa nyingine natema mate pembeni coz its so disgusting.Unaweza ukatapika.Mtu hajachamba vizuri alafu anatuonesha likontua lake libaya.Mjirekebishe bwana.

Simple minds, simple women. Ndiyo maana Nigerians wanawatumia sana dada zetu na kuwalostisha kiaina katika dili zao.
 
Back
Top Bottom