Kiukweli bila mkakati kabambe tutaendelea kupata shida tu na hawa wezi...
Na hii tusiiweke kichama chama zaidi, maana bungeni kukiwa na wabunge wa CCM 99% basi sisi kama taifa tumeisha...
Ikumbukwe CCM hamna hata mmoja anaewaza kutunga sheria au kupitisha mkataba wenye maslahi na sisi... wanawaza majiko na dinning zao tu!
Ipo siku isiyokua na jina tutatamani siku zirudi nyuma ila itakua ni kuchelewa mno.
Sijamaliza kusoma uzi wako Rebeca 83, sio kwamba nimeshindwa la hasha.....nimeishia kwenye hii nukuu
Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……
Halafu nikatafakari jinsi intelijensia ya policcm ilivyoimara kwa mambo ya CHADEMA
Ebu pigia mstari jibu, maana mimi mambo ya Insha huwa yananichosha kuandikaMkuu embu fafanua,mpiga soga atasumbuliwa na policcm au nimekuelewa vibaya?
Mchango wa nini ...
Unaumwa kideri wewe yaani nilipe kodi alafu nitoe mchango yaania kuna ka shule hapa naweza nikaitia kiberiti maana kwenye mwenge tulichangishwa madawati, ikapita tena vyoo sasa vyumba vya madarasa havitoshi tuchange tena watumishi. Nataka nirudi Arusha nije na baruti niilipue hiyo shule shenzi kabiwa awamu hii
Mara tunakuwa donor alafu donor mwenyewe anachangiwa kama yatima f@ck yuo jiwe
mchango hua ni hiyari mkuu hujalazimishwa...au la suggest njia nyingine ambayo makamanda wanaweza engage wananchi…?
Tatizo lako unayaandika haya ukiwa chooni hujaenda kwenye field. Halmashauri niliyopo tumechangishwa kilazima ili shule ijengwe, mimi napenda elimu sana lakini haya tunayofanyishwa ni sawa na nguruwe umvishe kipini cha dhahabu. Nenda mtaani uone utaelewa kwa kamshahara haka kiduchu hivi ata kunywa bia na kitimoto choma nashindwa alafu unaandika ushuzi.
Kwa hali hii nasema hapana
😳😳😳😳😳😳😳😳!!!Hakuna njia nyingine ya kuweka mambo sawa kwenye hii Nchi zaidi ya KUINGIA MSITUNI TUU..
Kwani nani mwenye shida ni chadema au wananchi ambao hawapati fursa ya kuwachagua viongozi wanaowataka?mchango hua ni hiyari mkuu hujalazimishwa...au la suggest njia nyingine ambayo makamanda wanaweza engage wananchi…?
Asikusumbue binti kaja na hoja huku kavaa madera na kanga za ccm kiunoni ataweza vipi kuyajua hayo.Rebeca 83 unaweza kuwa Una lengo zuri ila umeshindwa kuiweka vizuri ili ueleweke.
1. Unaposema wawe wanashiriki project zinawahusu wananchi mfano kwenye Afya na matibabu, Mara ngapi tumesikia Upinzani wameenda kutembelea Wagonjwa lakini wamekatawa?
2. Unasema hakuna mtu wa Ukawa wa kupiga soga kwenye Media, hivi hawa wanaovamiwa na Polisi wawapo kwenye Press ni wakina nani?
Wewe ni mgeni kwenye hii nchi?
we tulia ulee watoto mambo ya chadema tuachie sisi vijana ndo tunajua nini kinafaa kwa wakati huu.