Kama chama kiliweza kutiririsha us $ 250 elfu kila mwez kwa mtu mmoja ili akisaliti chama chake inashindwa nini kuwafadhili wajumbe hao wa mkutano mkuu?Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla!
Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa halimashauri kuu Ccm kuhudhuria mkutano wa Halmashauri kuu hapo Julai 18.
Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya kuwarejeshea wajumbe posho ya usafiri na kujikimu kipindi chote mkutano. Hii inatishia afya ya demokrasia kwani wajumbe waliopangwa tayari akaunti zimecheka na wengine wameanza kujisogeza eneo la tukio.
Hivyo basi mnaombwa kuwasaidia wajumbe kwenye maeneo yenu kwa michango ili waweze kuhudhuria mkutano huu muhimu unaokwenda kuibadilisha historia ya nchi hii. Kwa wajumbe wa halimashauri kuu walioathirika na unyanyasaji huu mnaombwa kutoa taarifa zenu hapa ili wana JF wawasaidie.
Pia wale ambao wana msimamo tofauti na Mwenyekiti kuhusu mgombea Urais gani wanayemuunga mkono wanatengenezewa zegwe.....
mbona hii habari nimeiona kama ilivyo kwa chadema? nyie waleta hizi threads mnatuchanganya.
Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla!
Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa halimashauri kuu Ccm kuhudhuria mkutano wa Halmashauri kuu hapo Julai 18.
Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya kuwarejeshea wajumbe posho ya usafiri na kujikimu kipindi chote mkutano. Hii inatishia afya ya demokrasia kwani wajumbe waliopangwa tayari akaunti zimecheka na wengine wameanza kujisogeza eneo la tukio.
Hivyo basi mnaombwa kuwasaidia wajumbe kwenye maeneo yenu kwa michango ili waweze kuhudhuria mkutano huu muhimu unaokwenda kuibadilisha historia ya nchi hii. Kwa wajumbe wa halimashauri kuu walioathirika na unyanyasaji huu mnaombwa kutoa taarifa zenu hapa ili wana JF wawasaidie.
Pia wale ambao wana msimamo tofauti na Mwenyekiti kuhusu mgombea Urais gani wanayemuunga mkono wanatengenezewa zegwe.....
Khaa dr Mbowe, Dr slaa na maDr wengine wa cdm naona wamechanganyikiwa kabisa sasa. Hawajielewi
Khaa!! We vipi hakuna hoja ya kujadili hapo. Dr Mbowe na mifugo yake yote wapo kwenye sakaratul maut, wanaweweseka tu. Usiwejinga.Jadili hoja acha kujinyeanyea!