Tuwaombee wanawake

Wanaume wakikataa hii biashara hao Wanawake watafanya biashara nyingine.
 
By the time naingia jf nikijua huku Kuna wanawake wenye akili lkn kumbe ni kinyume chake Bora hata wa fb[emoji38][emoji38]
 
Na nyie mmetumwa muende kuwachambua?kaa tulia na familia yako uone kama wakikosa wateja watawafata majumbani kwenu?
Wakati nakuja if nilijua wanawake wa huku Wana akili yaani ikitokea mada itachambuliwa na kuona lengo la hii mada ni Nini alafu wasimamie kwenye kuooa lakini humu limejaa wimbi la wanawake washenzi kuliko hata fb na ig
 
Wanaume wakikataa hii biashara hao Wanawake watafanya biashara nyingine.
Yaani hoja yangu ni kwa Nini wanawake wafanye hiyo biashara....? Kwani hawawezi kuacha Hadi wanaume waache
 
Maneno mengi hakuna msaada ulitoa zaidi ya kuja kulalamika. Ungewasaidia ata 50,000 kila mmoja ukawasaidia na usafiri wa kurudi makwao ndio tungeanza kuongea vizuri.

Wauza uchi walikuwapo ata biblia inawatambua wauza uchi
Mavazi waliyo vaa ni mitaji tosha Kama walitaka kufanya biashara nyingine.....ile ningekuta wamevaa nguo kuuu kuuu zenye viraka au manyambu nyambu ningefanya hivyoo ila kwa muonekano ule siwezi fanya hivyo
 
Wakati nakuja if nilijua wanawake wa huku Wana akili yaani ikitokea mada itachambuliwa na kuona lengo la hii mada ni Nini alafu wasimamie kwenye kuooa lakini humu limejaa wimbi la wanawake washenzi kuliko hata fb na ig
Mbona Ni kama unawaonea wivu,, hata yenu yanalika nenda kauze na wewe,, ukiona humu panakubana nenda fb na ig ukajitanue
 
Mavazi waliyo vaa ni mitaji tosha Kama walitaka kufanya biashara nyingine.....ile ningekuta wamevaa nguo kuuu kuuu zenye viraka au manyambu nyambu ningefanya hivyoo ila kwa muonekano ule siwezi fanya hivyo

Basi hutakiwi kuleta malalamiko aya apa jukwaani
 
Mbona Ni kama unawaonea wivu,, hata yenu yanalika nenda kauze na wewe,, ukiona humu panakubana nenda fb na ig ukajitanue
Ndio akili zako zilipo ishia sikulaumu wewe nayalaumu malezi yako.
 
Kunasiku nilitoka Dar na kufika Morogoro usiku. Aisee nilikutana na wadada wanaojiuza walikuwa watatu ila macho yangu yalipatwa na mshangao kwa binti mmoja aliyekuwepo pale.
Kimuonekano alikuwa mzuli kuliko mke wangu, Mweupe, anasura isiyochosha, sio mnene sana, ana kijishepu kizuri na chura pia. Alikuwa amevaa T-shirt iliyotobolewa kifuani na kuacha vichuchu vya saa sita mchana vikiwa wazi.

Japokuwa muda ule alinisisimua kwa kumuangalia tu, ila alinikera sana maana alikuwa na sifa zote zinazofaa yeye kuolewa cha ajabu nae alijianika kujiuza.
 
Ila ndio hivo wenyewe wanahisi wanakula maisha
 
Hujaeleweka kabisa,unasema tuwaombee halafu unasema walaaniwe,hivi upo serious kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…